Diwani ya Hadithi za Watoto - Juzuu ya Kwanza
Elimu YetuHadithi na picha zilizo ndani zilitoka AfricanStorybook.org, na tunawashukuru sana kutoa vitabu bure kwa watoto wa Afrika.
Inaruhusiwa kunakili, kuiga, kupiga chapa, kutafsisi na kusambaza kitabu hiki popote ulipo. Hiki na vitabu vingi zaidi vinapatikana bure kwenye tovuti yetu.
Yaliyomo katika kitabu hiki: Adhabu, Ajani Mbaya, Asiyesikia la Mkuu, Barua kwa Mama, Binti Mpendwa, Chiriku, Chungu Kilichokufa, Je, Wanafanya nini?, Jumamosi Moja, Kumtembelea Bibi, Kwa nini Yayeri ni Mashuhuri?, Kwenda Jijini, Magozwe, Mahari, Marafiki, Marafiki Zangu, Masau na Babake, Mwalimu Wangu, Mwezi na Kofia, Najisikia Wasiwasi, Nguo Zangu za Shule, Ngurumo na Mwanawe Radi, Ni Kazi Gani iliyo Muhimu Zaidi?, Nilipata Funzo, Nilivyopotea Sokoni, Ninafurahi Kufanya Hivi, Piga Hatua Uoshe!, Siku Ambayo Jua Lilipotea, Simbi Ampata Mama Mpya, Tunaweza Kufanya Nini? (Kuzuia Maambukizi), Uji, Umoja, Umuhimu wa Mtende, Upepo Mkali, Ushauri Mbaya, Wapi Kigoe Changu? na Wangari Maathai.